Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 910
nimenunua gari aina ya noah min bus kwa ajili ya biashara nimeambiwa kila siku dreva analeta elf 40 kwa mwezi inakua milioni moja laki mbili kwa lugha nyingine ukitoa laki mbili kwa ajili ya service kuna uhakika wa kusevu milion moja kila mwezi ... naombeni ushauri changamoto na uzoefu