Nataka kujiajiri kwa mtaji wa milion 1

Nataka kujiajiri kwa mtaji wa milion 1

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,669
Reaction score
1,418
Wakubwa shikamoni, wenzangu na Mimi habari zenu
Mm ni kijana bado cjaoa, nahitaji kufikia malengo yangu ya kumiliki nyumba mjin kabla ya kuoa,
Nina mtaji wa Tsh 1,000,000/= nahitaji mnipe angalau mchango wa mawazo ni biashara gani naweza nikafanya kwa kipindi hichi cha mvua na itakayo nisaidia angalau niweze kufikia malengo yangu :

Naishi mjin "kanda ya kati "

Mchango wako utanisaidia mimi pamoja na wengine watako pitia uzi huu!!

AhsanteNi
 
Unafanya nini kwa sasa?... Upo mkoa gani?.. Umewahi kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji mali?... Nazani tukianza hivyo tunaweza kujua cha kukushauri. Una ardhi ambayo inaweza kutumika katika uzalishaji?
 
Lazima utueleze mkoa unapoishi ili tukutajia ni vipi unaweza kuzinyaka fursa ili upate kutimiza malengo yako.

Kwa huo mtaji wako unatosha kabsa kukuwezesha kuseve tsh elfu kumi kwa siku.
Sawa na laki tatu kwa mwezi.
 
Unafanya nini kwa sasa?... Upo mkoa gani?.. Umewahi kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji mali?... Nazani tukianza hivyo tunaweza kujua cha kukushauri. Una ardhi ambayo inaweza kutumika katika uzalishaji?[/QUOTE

Napiga kazi ya u frelansa tigo ,cjawahi kufanya biashara yoyote zaidi ya kuuza lain za mtandao wa Tigo hapa mjin !!!
 
Kama upo Dom fanya biashara ya miwa kutoka moro au mboga mboga kutoka dumila. Baada ya miezi6 ulete mrejesho.
 
Unafanya nini kwa sasa?... Upo mkoa gani?.. Umewahi kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji mali?... Nazani tukianza hivyo tunaweza kujua cha kukushauri. Una ardhi ambayo inaweza kutumika katika uzalishaji?

Nko mkoa wa singida mkuu
 
Unafanya nini kwa sasa?... Upo mkoa gani?.. Umewahi kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji mali?... Nazani tukianza hivyo tunaweza kujua cha kukushauri. Una ardhi ambayo inaweza kutumika katika uzalishaji?[/QUOTE

Napiga kazi ya u frelansa tigo ,cjawahi kufanya biashara yoyote zaidi ya kuuza lain za mtandao wa Tigo hapa mjin !!!
si ndo biashara yenyewe hiyo?,ina maana una uzoefu wa kukutana na wateja na kuuza,
 
Biashara ya kuuza lain siwezi kuacha kamwe ,nilikuwa nataka nifanye shughuli nyingine ya uzalishaji mali nje ya biashara ninayofanya hivi sasa !! Naombeni mchango wenu
 
Nunua vocha uwe ajent mdogo,tafuta baiskeli au pikipiki kila asubuhi zungukia maduka ya mitaani ukisambaza vocha,itakulipa

Mkuu juzi juzi nimeomba kuwa AsF na nimepewa but huaga kuna mzigo kwa dealer mkuu na tunachukua free na baada ya siku mbili marejesho ,hapa hata haihitaji mtaji wangu kutumika
 
Back
Top Bottom