Kampuni ya Fumigation

Kampuni ya Fumigation

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
976
Reaction score
1,405
Samahani sana ndugu zangu nataka kufungua kampuni ya Fumigation now nipo katika masuala ya usajili, nataka kujua ni mikoa ipi nitapata zaidi soko na changamoto zake.
 
You did not do your homework... dont be suprised when failure knocks on ur door
 
Nini kilikufanyia ufikirie kufungua hiyo kampuni pengine utajua pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom