Ufugaji wa mbwa bora na wa kisasa

Ufugaji wa mbwa bora na wa kisasa

shenyagwa

New Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Kwa anayeuza mbwa wa kisasa kama vile german au british shelphered, flat coated retrive, rottweiller, bull dog anisaidie.
 
Mkuu kuna askari ana train mbwa wangu hapa (Bull dog) ana mbegu ya crossbreeding ya bulldog na German Sherphad anaweza kukuuzia mbwa ambaye yupo Trained tayari ila ni mkoani Nje ya Dar ila bado wadogo kama utaweza subiri kidogo utapata mbwa wa uhakika
 
Mtafute huyu jamaa nilionana nae kitambo alisema anao sijui kama anaendelea na hiyo biashara 0716-871333
 
mi nataka wale wenye maskio ya kulala na pua pana za kibantu....aina flani kama chihuahua(wenyewe wanatamka...chiwawa).........wanafaa kutishia watoto walale mapema:smile-big:
 
Kwa anayeuza mbwa wa kisasa kama vile german au british shelphered, flat coated retrive, rottweiller, bull dog anisaidie.

Nina German shelpher namuuza tuwasiliane Kwa email. mwasha.a@gmail.com
 
Mkuu kuna askari ana train mbwa wangu hapa (Bull dog) ana mbegu ya crossbreeding ya bulldog na German Sherphad anaweza kukuuzia mbwa ambaye yupo Trained tayari ila ni mkoani Nje ya Dar ila bado wadogo kama utaweza subiri kidogo utapata mbwa wa uhakika

mkoa gani huo? na anauzaje? nchek kwa email humo kwa maelezo zaidi jopashe02@gmail.com
 
Mkuu kuna askari ana train mbwa wangu hapa (Bull dog) ana mbegu ya crossbreeding ya bulldog na German Sherphad anaweza kukuuzia mbwa ambaye yupo Trained tayari ila ni mkoani Nje ya Dar ila bado wadogo kama utaweza subiri kidogo utapata mbwa wa uhakika

Bei ikoje? Wapo mkoa gani?
 
Naomba unipe details (contacts) za huyo askari.

Ni-PM tafadhali

Mkuu kuna askari ana train mbwa wangu hapa (Bull dog) ana mbegu ya crossbreeding ya bulldog na German Sherphad anaweza kukuuzia mbwa ambaye yupo Trained tayari ila ni mkoani Nje ya Dar ila bado wadogo kama utaweza subiri kidogo utapata mbwa wa uhakika
 
Mi ninao wawili masikio ya kulala wakali tatzo wanakula kuku.ntakupa bure!
 
Wakuu kisingi anyejua au wenye ufahamu wa mafunzo ya mbwa au handout/Kitabu/Jarida/Makala atupie hapa na sisi tupate ujuzi kidogo,japo wa kuleta ufanisi kwenye hawa tunaowafuga
 
Mkuu kuna askari ana train mbwa wangu hapa (Bull dog) ana mbegu ya crossbreeding ya bulldog na German Sherphad anaweza kukuuzia mbwa ambaye yupo Trained tayari ila ni mkoani Nje ya Dar ila bado wadogo kama utaweza subiri kidogo utapata mbwa wa uhakika

mkuu nnaweza nkapata mbwa kwa huyo askari aliekuwa trained kushika bunduki na kuchomeka ku change magazine ikiwezekana na kutupa magulnet mana jambazzz wamekua proffessional siku iz. nisaidie mkuu nataka nijue na bei kabixa au kama una mbwa sniper ambaye umesha mtrain niuzie huyo
 
Back
Top Bottom