UNAWEZA KUWA MILIONEA KWA KUWEKEZA KATIKA MITI YA MBAO. Check hapa

prof kaji

Member
Oct 22, 2015
50
0
Wadau napenda kuwashilikisha katika uwekezaji wa miti na kujipatia utajiri Baada ya muda mfupi....miti inapatikana Kuanzia hekari 1 hadi 300 .nk..miti hiyo ni kama vile.....
(a ) miti iliyo tayari kupasua mbao.
(b) Miti ya kuanzia mwaka 1,2,3,4,5,6,7 ya kuitunza mpaka ikiwa tayar kupasuliwa .
(c) Aridhi tupu ya kupanda miti.
(e) Mbao za jumla za kuuza .
(f) Ardhi pamoja miti .
SHAMBA NI KUANZIA HEKARI 1 NA KUENDELEA WASILIANA NAMI 0752870197 AU 0652292289
 
Heka moja au Eka moja?
Heka moja ni miti 1100 na Eka moja ni waatani miti 550.
Be specific.Pia aina gani ya miti?
 
Back
Top Bottom