Senir
New Member
- Dec 11, 2015
- 3
- 1
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mpenda mabadiliko ambaye nimeamua kugeukia sekta ya kilimo na kujaribu kuwekeza humo.
Nimeanza mwaka huu kwa kupanda Mahindi na Soya kwa kilimo cha kisasa lakini bado nakuwa na maswali ya kujiuliza ninayokosa majibu maana kwa ushauri niliopewa ni kwamba nafaka inalipa zaidi kama nitapeleka Dar Es Salaam.
Maswali hayo ni :
1) Nani atakuwa mteja wangu kwa bei inayofaa?
2) Bei ya jumla kwa mazao hayo ntauzaje ili inilipe vizuri (MAHINDI na SOYA)?
Naombeni msaada wenu wakuu kwa wenye uzoefu na mambo haya mana ndo nimeanza.