Ugonjwa maarufu wa mazao ya mbogamboga - KANTANGAZE

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,300
6,112
Ndugu watanzania na serikali yetu kwa ujumla,

Mwaka jana kuliibuka ugonjwa ulioathiri baadhi ya mazao sehemu mbali mbali mbali nchini( Arusha Morogoro, Tanga, Iringa na njombe) na uliathiri zaidi mahindi na mboga mboga (nyanya, Hoho, Vitunguu). Ugonjwa huu uliwashtua wengi maana inasadikika ni Viral disease (virus) na kwa kawaida ugonjwa wa virus hauna tiba zaidi ya kung'oa mmea. Ugonjwa huu kwa sababu ulikua ni mgeni ulipewa jina KANTANGAZE.

Uchunguzi wangu mdogo nilioufanya unasema ugonjwa huu ni matokeo ya vita ya kimasoko ya mbegu nchini. Kuna kampuni tayari inayombegu inakinzana na ugonjwa huu na inalengo la kutaka kuyanunua makampuni mengine makubwa yaliyopo nchini ili aweze kudominate soko.

Kampuni inayohusishwa ni kampuni kubwa inayojihusisha na uuzaji wa mbegu za GMO (Genetically modified Organism) duniani na Kuna baadhi ya nchi imeshapigwa marufuku.

Lengo la uzi huu ni kutaka kutoa taarifa kwa mamlaka husika kufuatilia ukweli maana nimepata taarifa kwa makampuni pinzani, baadhi ya watalaamu wa kilimo na wadau kwenye sector ya kilimo. Hivyo serikali kupitia kitengo chake cha ufuatiliaji wa mbegu mbali mbali kufanya utafiti kubaini ukweli na mwisho kuwatoa wananchi hofu.
 
Acha uzushi wewe kantangaze ni ugonjwa au mdudu hlf usikurupuke km hujui kitu...
 
Acha uzushi wewe kantangaze ni ugonjwa au mdudu hlf usikurupuke km hujui kitu...
Mkuu mimi huwa sipendi watu wa aina km yako wanao wakosoa wenzao pasipo heshima,Mkuu km mtu amekosea basi msahihishe kwa upole na kwa kutumia kauli nzuri;Sasa unaposema ni uzushi halafu unakubaliana naye kwamba ni kweli Tatizo lilitokea lkn si km alivyoliripoti mhusika huoni km unajikommiti,JF ni yetu sote tupendane.
 
Mkuu mimi huwa sipendi watu wa aina km yako wanao wakosoa wenzao pasipo heshima,Mkuu km mtu amekosea basi msahihishe kwa upole na kwa kutumia kauli nzuri;Sasa unaposema ni uzushi halafu unakubaliana naye kwamba ni kweli Tatizo lilitokea lkn si km alivyoliripoti mhusika huoni km unajikommiti,JF ni yetu sote tupendane.
Amezidisha kiwango yaan 90% ya maneno hyn ukweli kanikwaza kias flan
 
Achakupenda kukosoakosoa2 wenzako kwn ktk ugonjwa wa ukwimi wale wa dudu wanao7bsha ugonjwa wanaitwaje? nazan bila shaka utawaita virus wa ukimw

sasa uyo mtoa mada unaemwona amekosea mbn yupo sahii2 maana unavosema uyo mdudu kantangaze anaeshambulia mazao inamaana hapo bilashaka niugonjwa uo je utwaje? km so ugonjwa wa kantangaze maana mdudu anavoleta ugonjwa lazima upewe jina lake.

Nakama ww unakataa so ugonjwa unadai ni mdudu aya tuambie uyo mdudu alieibuka iv karibun ugonjwa wake tuta upa jina gn?
maana mdudu anavoshambulia mazao lazima aleta ugonjwa.

tusipende kukurupuka kwakukosoakosoa mawazo ya mwngn kwakujiona ww ndo upo sahii na mwenzio amekosea kumbe ww ndo umekurupuka

heshim mawazo ya mwenzio.
 
Back
Top Bottom