stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
Habari za asubuhi wanajamvi, naamini wote ni wazima na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki ya siku. Bila kupoteza muda napenda kuingia moja kwa moja kwenye dhumuni la bandiko hili.
Nahitaji kufanya biashara ya mayai ya kuku wa kienyeji/kisasa na mjasiriamali (au kikundi cha wajasiriamali) atayeweza/kitachoweza kukidhi mahitaji yangu ya siku yaani kuanzia tray 100-200 za mayai
NB: Mjasiriamali awe anapatikana ndani ya jiji la Dar es Salaam, sehemu inayoweza kufikika kwa urahisi hata katika kipindi cha mvua
Kwa yeyote mwenye nia ya dhati anaweza kunipm tukaongea zaidi...