Wafugaji Wa Mbwa: Nawezaje Kumzuia Mbwa Dume Asitoroke Kufuata Majike?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau,

Nina Mbwa wangu dume mamfuga mchana namfungia usiku namuachia nikitegemea analinda kumbe anaenda kufukuzia majike sasa naomba njia ya kumdhibit?

Nawasilisha.
 
Funga Kitu kama Flip hivi kwnye tumbo lake , akipanda inafunika Uume wake
 
Sabakher Wadau;
Nina Mbwa Wangu Dume Namfuga! Mchana Namfungia Usiku Namuachia Nikitegemea Analinda Kumbe Anaenda Kufukuzia Majike! Sasa Naomba Njia Ya Kumdhibit?
Nawasilisha.
Cheza karibu na FaizaFoxy uwe unamwalika nyumbani kwako mara moja moja hiyo michezo anaimudu sana!!
 
Wewe si juzi ulikuja hapa na hadithi ua dada muuza mboga,......eti nilipokuwa getini,sasa huyo bobi anatokaje wakati una uzio?,ukiwa muongo uwe na kumbukumbu basi,inaonyesha hata huko chumvini huzami unazamiwa Nina wasiwasi umesahau tu.
 
Sasa si umeshajua anaenda kufanya nini huko? Umeshatatua tatizo! Mletee nyumbani uone kama atatoka hata nje!

Mkuu na wewe wakikukataza kwenda kutafuta hiyo kitu utajisikiaje? Watendee wengine yale ambayo ungependa wakutendee wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom