Vipimo vya Mabanda Bora ya Kuku

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Habari wataalam wa kilimo bora, ufugaji na uvuvi, naomba kufahamishwa ni vipimo vipi ni sahihi kwa ujenzi wa mabanda ya ufugaji wa kuku. Lengo langu ni kufuga kuku 2000, aina ya kuku ni kuroiler. Je nijenge banda moja tu la kufugia hao kuku 2000 au nijenge mabada madogo madogo ambayo yatachukua kiasi flani cha kuku. Katika ushauri wenu naomba ni faida na hasara zipi kwa kujenga banda moja tu na pia faida zipi na hasara za kujenga mabanda madogo madogo. Je iwapo ni mabanda madogo madogo yawe na size gani na yachukue kuku wangapi.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom