Natafuta mbegu za stafeli, komamanga na topetope

Uncle ben kuna madude flan yanafanana na tope tope, ila yana ladha mbayaaa unayafahamu?
Dah yakoje au jina lake ,topetope nilikua nakula kwa marehemu babu nje ya nyumba yake ,alikua na mapera ,matipisi, passion, mapapai ,halafu kuna matunda flani yanaota kwenye miba sijui jina lake ila yana urefu kama tango hivi yakijani ubavuni yana mstari wa orange ila balaa lake hilo tunda hutakiwi kulishika kwenye ncha yake ,ukilishika tu linakua chungu ,kwa hiyo unapasua kwenye ubavu penye rangi ya orange ndio ule ,
Good old days
 
Dah acha tu mkuu.....kitambo sana hilo tunda....toka nianze kujitambua sijalitia machoni wala mdomoni.....zamani yalikua yanajiotea tu.....
Dah aisee muda unaenda ndugu yangu ujue jamaa kataja topetope ndio nikakumbuka mara ya mwisho naliona ni kwenye utoto huko enzi hizo nikiwa na miaka kama 11
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom