Jinsi ya kupata wazo la biashara

consolathak

Senior Member
Nov 13, 2012
160
174
Wanaukumbi
Natamani kufanya biashara mtaji ninao kama million 20 , lakini nashindwa kupata wazo la biashara ambayo itanilipa.
Naomba mawazo yenu.
 
Wanaukumbi
Natamani kufanya biashara mtaji ninao kama million 20 , lakini nashindwa kupata wazo la biashara ambayo itanilipa.
Naomba mawazo yenu.



Idea zipo nyiingi mno kwa huo mtaji na zenye uhakika wa kukuzalishia pesa kama hyo mara 3 hadi nne ndani ya mwaka mmoja...
Jambo msingi hapa nikushauri ya kuwa ondoa mawazo ya kurithi au yale mawazo zoefu jitahidi kupokea mambo mapya na kuyafanyia kazi pia jitahidi kuzichukua changamoto za watu na uzifanye fursa kwako ya kujiingizia kipato...
Muhimu ni kuepuka mambo ya short cut jitahidi saana kufata sheria na ufanye biashara kitaalamu na kama hivyo unasema ujui biashara wapo wataalamu unaweza kuwaajiri au kufanya nao kwa kuzingatia mikataba mizuri ambayo itakulinda ktk buashara mtakayoianzisha
Kuwa makini saana hiyo pesa ni nyingi saana kwa kuitamka lkn kwenye biashara ni ndogo saana kama hutofanya utafiti na kujipanga kabla ya kujiingiza kwenye biashara yoyote...

Kama una swali 0654741434
 
Back
Top Bottom