Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa, tupo Kinyerezi.
0 Reactions
21 Replies
7K Views
wasalaaam! Ndugu zangu nilikuwa naomba wenye uelewa na Hii biashara ya kufuga Mbwa haswa German shepherd na Doberman kwa ajili ya SECURITY inaweza kulipa......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuku wapo Bunju, wako 300 unayehitaji nicheki kwenye 0788684574
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sabakher Wadau, Nina Mbwa wangu dume mamfuga mchana namfungia usiku namuachia nikitegemea analinda kumbe anaenda kufukuzia majike sasa naomba njia ya kumdhibit? Nawasilisha.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wizara ya Kilimo,Mifugo na uvuvi imeahidi kuichukua changamoto ya Magadi Chumvi kwenye mashamba ya mpunga kuwa tatizo la kitaifa linalotakiwa kuingizwa kwenye mipango na sera za kitaifa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji mbegu za stafeli, komamanga na topetope. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
18 Replies
10K Views
Wakuu, Naomba mnijuze kwa mnavyofahamu kuku chotara maana huwa nasikia tu ila sijawahi kuwaona.Naomba msaada juu ya ufugaji wake, chakula chake je wanakula chakula gani , utagaji wake, bei ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kichwa cha habari chaeleza anahitajika mnunuzi wa tikiti shamba lipo Mlandizi JKT. Mawasiliano: 0719666099/0784321716
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanaukumbi Natamani kufanya biashara mtaji ninao kama million 20 , lakini nashindwa kupata wazo la biashara ambayo itanilipa. Naomba mawazo yenu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mbinu na maelezo ya kilimo cha ufuta. Nataka nianze kulima msimu ujao huko nanjilinji Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu watanzania na serikali yetu kwa ujumla, Mwaka jana kuliibuka ugonjwa ulioathiri baadhi ya mazao sehemu mbali mbali mbali nchini( Arusha Morogoro, Tanga, Iringa na njombe) na uliathiri zaidi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, naamini wote ni wazima na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki ya siku. Bila kupoteza muda napenda kuingia moja kwa moja kwenye dhumuni la bandiko...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana mpenda mabadiliko ambaye nimeamua kugeukia sekta ya kilimo na kujaribu kuwekeza humo. Nimeanza mwaka huu kwa kupanda Mahindi na Soya kwa kilimo cha kisasa lakini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tembelea blog hii utapata habari zote Kilimo Cha Matunda na Mboga Mboga
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jizoeze kuwa unapitia hapa. Welcome to AATF-Africa | AATF-Africa
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza ila natamani nifanye ufugaji huko Mwanza nyumbani ni Bugarika. Nauliza kwa laki na nusu naweza kufuga kuku wa aina ipi na nitapata faida gani, msaada jamani?!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna aina mpya ya ndizi inayoitwa FHIA Ambayo inazaa sana na inahimili maradhi imeanza kulimwa mkoa wa Kagera.Ndizi hii mpya inaweza kupunguza umasikini na kuwa na uhakika wa chakula.Nashauri...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wanJF, ni kwel natafuta mtaalam wa kilimo nifanye nae kazi ya online, ataniandikia magonjwa yote ya mimea na solutions zake pamoja na madawa yake. Na uwe kwel mtaalam na sio magumashi, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jinsi ya kuweka mtego wa kushika ndege aina ya eagle, sio lazima uwe na manati
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari wataalam wa kilimo bora, ufugaji na uvuvi, naomba kufahamishwa ni vipimo vipi ni sahihi kwa ujenzi wa mabanda ya ufugaji wa kuku. Lengo langu ni kufuga kuku 2000, aina ya kuku ni kuroiler...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…