Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa

Shida kwelikweli,,,unatakiwa uanzje hivi,,headigkuweka att kidogo,,vifaranga,,vifaranga vyavkuku wa kienyeji,,theninimeanza mradi wa kuku wa kienyeji,,sasa nimebahatika kuangua vifaranga kadhaa,,vina umri wa week 2,,3,,4 au1,,nauza,,vya week n sh,,2week ni sh ,,,nk
 
Vinauzwa samahani kwa ujichanganya tupo kinyerezi nafikili apo nimeeleweka

Tulia ndugu yangu bado hujaeleweka

1. Unauza vifaranga wa kuku wa kienyeji -sawa
2. Unapatikana kinyerezi - sawa
3. Hao vifaranga wana umri gani? Je wanachanjo yeyote?
4. Bei gani?
Ongezea. ..
 
Kupanga ni kuchagua kuna tofauti mimi nilinunua mitetea kwa sh 15000 kuna umeme kuna chakula kuna chanjo ao unaonunua 5000 mimi ata kuwatumia situmii kabisa kienyeji ana umuhimu wake asanfe
 
Kama unataka vifaranga ni uamzi wako mambo ya utapeli yanatoka wapi unataka njoo ujionee ana uwezo kaa kimia
 
Aisee mie nahitaji vifaranga vya kuchi au hata mayai yaliyotagwa ndani ya siku 7 nitatotoresha mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom