Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Samahani ndugu zangu Nina uhitaji mkubwa wa pumba za mahindi Niko Arusha mjini naomba msaada wa upatikanaji
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unapofikiria kufanya ufugaji wa kuku lazima wazo lako likupeleke kwenye kufanya ufugaji wa kuku wa kibiashara ufugaji ambao unakuwa kama kazi. Kwa wanafunzi wanaohitimu vyuo vikuu hawana haja ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa naomba kupata ushauri wa namna ya kupata masoko ya kuuza nyanya hasa katika kipindi ambacho kwa sasa nyanya zimefurika sokoni.Natarajia kuanza kuuza wiki moja ijayo. Je utaratibu...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
wakuu napenda kufanya ulanguzi wa asali mikoa ya tabora pamoja na singida ila changamoto ya hii mikoa hua inaathiriwa sana na maua yanayotokana na tumbaku ambayo hua na sumu ya nikotin ambayo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote aliyeko Dar, mashine yangu ya kutotolesha vifaranga (incubator ) niliagiza mwezi 5 ilifika dar mwezi 7! Je ni kweli bandari wanaweza kuiuza kwa kutoikomboa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua sababu inayofanya majani ya tikiti niliyopanda yananyauka na kukauka wakati ninamwagilia maji ya kutosha. Nilijaribu kuangalia mizizi yake nikaikuta mizima na yenye maji Naomba pia...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
habari zenu wakubwa. naomba kufahamu kutoka kwa wataalam wa kilimo na udongo kuhusu issue ya soil sterilization. kwenye vipengele vifuatavyo .maanake yake .ina faida gani kwa mkulima kiujumla...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Ninao Bata lakini wamekuwa wakilegea miguu na shingo. Pia wanaharisha mavi meupee. Naomba kufahamu tiba na hayo maradhi yanaitwaje?
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Hii ni biashara ninayoiwazia kuifanya siku zote, na kama sitaifanya mimi basi ningependa kuiona ikiwepo (sijajua kama ipo mahala popote, sijabahatika kujua kama ipo) Game farming: Hii ni biashara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kupata namba za simu za viongozi wa vyama vya ushirika vya Runali na Mamcu, na vyama vingine vinavyohusika na korosho
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha KILIMO cha kisasa cha matunda aina ya passion je kwa waliolima hivi kinalipa?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habar wanajamvi kuku wangu wanasumbuliwa na kuvimba macho na kupofuka na kupelekea vifo. Je huu ni Ugonjwa gani na nitumie dawa gani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za majukuu ndugu zangu,Nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza mananasi lakini si na experiece nayo sana maana naona msimu wake umekaribia mwenye kujua vizuri biashara hii naomba anisaidie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekua nikifuga kuku aina ya broiler kwa mda, ila vifaranga vingi huwa vinaishiwa nguvu za miguu, na vingine huwa vinakuwa na matege kama msamba wa Van Damme, nataka kujua tatizo la vifaranga...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimenunua incubator machine yenye uwezo wa mayai 700. Nimeweka mayai, ila kati ya 700 nimepata vifaranga 300 tuu. Binafsi sijafurahi kwa sababu matarajio yangu yalikuwa at least 500. Kuna mayai...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana jamii forums mimi ninataka kuanzisha mradi wa kufuga samaki ila sijui chocjotr kuusu mradi huo na ninahitaj ushaur maelekezo kwa yeyote mwenye ujuzi huoo ..kwani eneo husika ninalo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu zangu natafuta mtaalamu ambaye atanishauri kuhusu banda, vifaranga, madawa na ufugaji mzima wa kuku wa kienyeji na wa kisasa. Pliz inbox kama upo maeneo ya jirani. Naishi Masaki DSM.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bei Bei ni laki moja tu Kwa heka Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe Kwa mahitaji wasiliana nami kwa simu namba 0764426929,0655726929 na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…