Kama unanunua mahindi tuonane hapa

Nina tani 20 za mahindi nauza, naomba ofa yako. Yako Handeni Tanga
Asee tani 20 si mchezo mdau. Daah safi ila kwa nini usisogee maeneo ya kange palee kuna kiwanda kikubwa tu cha unga Pembe flour nadhani wanaweza kukupa offer ya mana mdau, Au check maeneo ya pugu road huku dar kuna azam flour aweza kupa deal la ukweli mdau.
 
Ivi pugu road neo nyerere road au?
Inanichanganya kidogo
 
Wadau nipo songea nataka kufanya biashara ya mahindi kuleta dar je debe ni shilingi ngapi huko
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom