Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

Kilala Makusaro

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
688
382
Baada ya wateja wengi kutoka Dar kuongezeka, sasa tunawaletea huduma karibu. Mapema wiki ijayo Lorry lenye Ng'ombe wa mziwa litawasili Dar. Tunachokuomba ufanye wewe, ni kufika katika boma letu kisha utachagua Ng'ombe umpendaye tutapatana utalipa utapakia.

Hawa ni ngombe bora wa kisasa wa Maziwa kutoka Meru. Tutakuwa na Mitamba wenye mimba, aina kuu mbili Freshian na Eshian. Ndama na Madume tutaleta kwa special order kwasababu wateja wake ni wachache. Bei kwa Mitamba inarank from 1.6 mil to 1.8 mil kutegemeana na umri wa mimba na aina ya ng'ombe.

Ngombe hawa wanauwezo wa kutoa hadi lita 20 na zaidi kwa siku wakilishwa vizuri.Hapa nimeweka baadhi ya picha ya Ng'ombe watakaokuwepo. Kwa maelezo zaidi Tuwasiliane kwa Email estombise@gmail.com au whatsapp 0626641591
 
Attachments

  • tmp-cam--2145176324.jpg
    tmp-cam--2145176324.jpg
    44.7 KB · Views: 429
  • FB_IMG_15060715435513853.jpg
    FB_IMG_15060715435513853.jpg
    30.9 KB · Views: 405
  • FB_IMG_15060715004516330.jpg
    FB_IMG_15060715004516330.jpg
    38.5 KB · Views: 350
  • FB_IMG_15060715140006959.jpg
    FB_IMG_15060715140006959.jpg
    39.3 KB · Views: 372
Ndo maana tunafaili kwenye biashara wewe unatangazia soko biashara yako umeona emails na namba ni muhimu kuliko bei soko linahitaji kujua bei sana kuliko email na namba zako.

In marketing mix 4P's ni msingi mkubwa wa soko, I mean product unayouza,Price ya bidhaa ako,Place utakayo uzia na package ya bidhaa zako.
 
P1- Place: Kwa case ako ungesema utakua dar mahali gani,
P2- Price : Bei ni kiasi gani,
Ng'ombe wana umri gani pia wanasifa gani.
P3- product : ng'ombe wako kwenye makundi ya namna gani wenye mimba taar ama hawajazaa au wenye nzao moja vtu ka hvyo.
P4 - package : unaweza elezea ng'ombe wako wa makundi ya aina ngapi na uwezo wao .

Kwa tangazo kama hili hakika watu watajaa pm wentewe wakiomba namba na emails ila hilo above umechemka my friends.
 
K
hapoa sawa .naona umeamua kuwaleta.watashushwa wapi na bei yao ipoje?
Karibu tutazungumza lakini wanarank kuanzia 1.6mil hadi 1.8 mil basing kwenye umri wa mimba na umbo, transport included. Tutajuzana watakaposhushwa mkuu we njoo whatsApp ni simple kujibu maswali pesa yako itakuwa ya mwisho kabisa baada ya kuhudumiwa.
 
P1- Place: Kwa case ako ungesema utakua dar mahali gani,
P2- Price : Bei ni kiasi gani,
Ng'ombe wana umri gani pia wanasifa gani.
P3- product : ng'ombe wako kwenye makundi ya namna gani wenye mimba taar ama hawajazaa au wenye nzao moja vtu ka hvyo.
P4 - package : unaweza elezea ng'ombe wako wa makundi ya aina ngapi na uwezo wao .

Kwa tangazo kama hili hakika watu watajaa pm wentewe wakiomba namba na emails ila hilo above umechemka my friends.
Thanks nitaupdate basing kwenye ushauri wako
 
Product nadhani ni kiwango chanuzalishaji wa maziwa kwa siku aina ya wanyama mfano Jesey Freahian Zebu Chotara au wa beed Unawatoa wapi ni muhimu kujua Maana wanyama wanaotoka sehemu za baridi hapa Dar ni ngumu kucope na hii hali ya joto na wanaweza kupotwza porduction hadi ushangae
 
Sasa mi wa mikocheni ukiniuzia nitawaweka wapi na boma sina. Kwa nn usiuze maziwa tuu
 
Product nadhani ni kiwango chanuzalishaji wa maziwa kwa siku aina ya wanyama mfano Jesey Freahian Zebu Chotara au wa beed Unawatoa wapi ni muhimu kujua Maana wanyama wanaotoka sehemu za baridi hapa Dar ni ngumu kucope na hii hali ya joto na wanaweza kupotwza porduction hadi ushangae
Asilimia kubwa ya ngombe wanaofugwa dar wanatoka Arusha na kilimanjaro. Swala kucope kuna chanjo mahalumu unapaswa kuchanja ng'ombe sii baridi. Tena ng'ombe wanaotoka sehemu za baridi kwenda kwenye joto huongeza uzalishaji wa maziwa.
 
Ok Na madume madogo yanapatikana wakunenepesha ila wawe wa Kisasa
 
Mitamba kawaida hupandishwa wanapofikia umri wa miezi 18 kuendelea tika wazaliwe. Umri wa mimba unakuwa tofauti kuanzia miezi mitatu na kuendelea
Hujajibu swali, mimi nikisema hao Ng'ombe wako wanakaribia ukomo wa kutoa maziwa na kuzaa nitakuwa nimekosea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom