Bei ya mahindi kwa sasa Iringa

Bei ya mahindi kwa sasa Iringa

Mbalinga

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Posts
1,716
Reaction score
1,374
Wana jukwaa, nimelima mahindi kwa kumwagilia mkoani Iringa. Je kwa anayejua bei ya sasa kwenye soko. Nimekosea kwenye tittle moderator naomba msaada, nilimaanisha bei na sio bro.
 
Je ni mahindi ya mabichi au makavu?
2. Makavu debe ni 8,000-10,000
 
Back
Top Bottom