Plymonth Rock/ Bared Rock

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,762
8,834
Hawa ndio Plymonth Rock/Bared Rock ni moja ya Heavy Breeds, niliwapata wachache kutoka Ufaransa.
4f4f4c49fa6b782f1819368c31c2a12c.jpg

a0df00c9fa138894ffe2323bf580d383.jpg

74b43ccea47fba9c79cb58cbe0241d41.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: etb
Hahaaaa wenye wivu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wivu kivipi?umetueleza kwamba umenunua kuku(bared rock) kutoka ufaransa!!so unataka tufanyaje?....unauza ili tununue? au unataka tu tujue umenunua kuku kutoka ufaransa? au unagawa kwa anayehitaji? au wanaumwa unahitaji msaada? au kama ana sifa nzuri zaidi ya hawa tunaofuga katika mazingira yetu hujatueleza...binafsi sijaelewa dhumuni lako and by the way it is very childish to brag about what you have rather than care more about touching farmers in positive ways.
 
aje ajibu...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom