NATAFUTA: Vifaranga na Jogoo Chotara Mwanza.

NATAFUTA: Vifaranga na Jogoo Chotara Mwanza.

Heart Wood.

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
990
Reaction score
1,190
Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyojieleza.

Naomba mwenye connection na wadau Wafugaji ili ninunue Jogoo mzuri Chotara kwa ajili ya mbegu.

Nahitaji pia vifaranga chotara kuanzia 50 hivi. Nitashukuru kwa ushirikiano.

Mahali: Mwanza.
 
Duuuuh,,,,,hili dili sasa nipo mbali kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom