kilimo cha maharage ya ngwalaau FIWI

tajirisana

Member
Sep 29, 2010
83
22
Wana JF nimekutana na changamoto leo nilipoulizwa juu ya maharage ya FIWI na huyo mtu akaniambia yana soko sana kenya na india,
naomba mnisaidie haya maharage yanalimwaje, mbegu inapatikana wapi, yanakaa shambani kwa muda gani, na soko lake kwa ujumla yanauzwaje kwa gunia? kwa mwana JF ambaye analifahamu zao hili naomba msaada
 
mali kwa mkoa wa kilimanjaro wilaya ya same,,sema kwa sasa bei iko chini sijui uchaguzi utaisha lini kenya
 
Wana JF nimekutana na changamoto leo nilipoulizwa juu ya maharage ya FIWI na huyo mtu akaniambia yana soko sana kenya na india,
naomba mnisaidie haya maharage yanalimwaje, mbegu inapatikana wapi, yanakaa shambani kwa muda gani, na soko lake kwa ujumla yanauzwaje kwa gunia? kwa mwana JF ambaye analifahamu zao hili naomba msaada
Halafu tukilima iwe kama Mbaazi eee???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom