Nina shamba ekari 12 Mkuranga, nimechimba na kisima cha maji. Ninatafuta wa kumkodishia

lauzi96

JF-Expert Member
Jul 10, 2014
422
797
NIMENUNUA SHAMBA MKURANGA KWA NIA YA KUANZA KILIMO MWAKA ULIYOPITA NILILIMA NYANYA NA NILIVUNA VIZURI HILA NILILIMA KAMA EKARI 2 TU ZILIBAKI EKARI 10,KWAHYO NIMEONA KULIKO KUACHA PORI
WAKATI KUNA VIJANA WANATAFUTA MAENEO YA KILIMO ANGALAU NIKODISHE ENEO LILILOBAKI AMBALO SINA UWEZO WA KULILIMA KWA SASA SABABU BADO NNAJIFUNZA SIWEZI KUANZA NA EKARI 12 KWAHYO KAMA UPO MUHITAJI NI PM NIKUPIMIE KIPANDE UFANYE KAZI.
 
Unipimie kwa kupangishwa au uniuzie? Mkuu
WAKATI KUNA VIJANA WANATAFUTA MAENEO YA KILIMO ANGALAU NIKODISHE ENEO LILILOBAKI AMBALO SINA UWEZO WA KULILIMA KWA SASA SABABU BADO NNAJIFUNZA SIWEZI KUANZA NA EKARI

Mbona kasema anakodisha
 
Ekari unakodisha sh ngap?mazao gan yanastawi huko?kisima kina maji ya kutosha?niko serious tufanye biashara
 
Ekari unakodisha sh ngap?mazao gan yanastawi huko?kisima kina maji ya kutosha?niko serious tufanye biashara
Bila shaka ww ni mkulima umeuliza maswali ya kitaalam sana, shamba lazima ujue mazao yanayostawi lazima ujue uhakika wa maji wa kutosha lazima uje hali ya hewa lazima ujue shamba lina udongo gani ila haya mengine utayajua ukifika shambani ajibu kwanza haya uliyomuuliza
 
jamaa anaonekana hayuko serious
 
Back
Top Bottom