ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,489
- 88,633
Salaam kwenu wadau wa kilimo.Kuna tetesi kwamba serikali imezuia kusafirisha nataka hasa mahindi nje ya Nchi na pia kati ya Mkaa na mkoa.
Manake haiingii akilini Sunbawanga na MBEYA gunia la debe 6 ni around tsh.40,000 wakati kanda ya ziwa ni karibu 90,000.Kama kuna ukweli au vipi hebu tupeane tips ili tuchangamkie fursa za biashara na tuwape nafuu ya bei