Matunda na Mbogamboga nyingi/mengi yanayouzwa Gulf Countries yanayotoka Africa hutoka Uganda.
Sisi Tanzania Kila Kiongozi/Sera zetu anachangia/zinachangia Umasikini wa raia na maisha kuwa magumu zaidi...
Na Jana Pogba ndo anaomba Watanzania wavumilie tu, mpaka lini.
Ili hari kama tungebadirisha Sera zetu, kuondoa urasimu tungebadirisha hari za watu wetu.
Roho imeniuma ulishindwa kufanya biashara kwa sababu ya sera mbovu na ukiritimba wa Viongozi na wafanyakazi wa umma.
Na hakuna anayejari.
Kweli kabisa mkuu. Wataalam wa kusaidia uhamasishaji wa hizi biashara wanaishia kufanya maonyesho mnazi mmoja tu.
Tazama rutuba iliyozunguka nchi yetu lakini huwezi kwenda kijijini ukakuta wanakijiji wamepimiwa udogo wao na wakaambia udongo wao unafaa kwa kilimo mfano Red cabbage. HAKUNA KITU KAMA HIKI TANZANIA
Utaalam umewekwa kwenye vitabu vinauzwa town na watanzania hata kusoma gazeti ni wavivu ukiachilia mbali hiyo idadi ya wanaojua kusoma na kuandika. Utaratibu wa kupata vibali na kufuata utaratibu kwa wanaothubutu umejaa ukiritimba , usumbufu, urasimu na kukatisha tamaa kabisa. Mbali na hayo pesa inatakiwa itumike kuvipata bila kusahahu kupoteza muda mrefu sana na nguvu nyingi zinapotea.
Wako wapi wahitimu wa soil kutoka SUA na kwingineko. Nani anawaajiri nani anawatumia? Sio soil tu bali pia wataalam wote wa KILIMO BIASHARA.
Watanzania bado hatujui kulima kabisa utadhani ni nchi isiyo na udongo mzuri ni mfano wa nchi yenye ardhi iliyopigwa mabomu na kuharibika sasa haifai kwa kilimo . Na sasa tunakimbilia kwenye viwanda tena viwanda vyenyewe tunavihesabu kuanzia level ya vyerehani vitatu.
Nchi hii inachosha sana ndio maana wakazi wengi wa nchi wameishia kupiga viroba tu maarifa yameisha kwenye nguvukazi ya kijana wa sasa. Wanahitaji msaada wa kuwakwamua kuingia kwenye KILIMO BIASHARA . Wengi wamehitimu kazi hakuna wengi hawajaenda shule kabisa na nguvu wanazo
Na kichwa ngumu kapewa fimbo anatandika wimbo wa VIWANDA tu. Hana habari nani anaitikia na haitikii yeye anaimba tu kwa masauti ya kutisha na kuogofya.
Kilimo cha biashara sifuri kiwanda kitapata nini? Waganda wanakausha hadi ndizi , samaki na maparachichi wana export tazama sisi.
Viwanja vya ndege vinaboreshwa ili kubeba watu tu. Ardhi yetu tumeikalia inakaa bure kabisa. Natmani kufikiria kuwa hali ya hewa ya Tukuyu inaweza kuotesha aina flan ya maua uoe uwanja wa songwe ukatumika vizuri . Ila nani wa kufanya hayo. Wote tumeketi mkao wa kusbiri VI-WONDER .
VIWANDA myfoot [emoji21][emoji21]