unique one
Member
- Oct 17, 2017
- 42
- 10
Wakuu natamani kuwekeza hapo ila soko lake sijui likoje naomba mnipe mwangaza kidogo japo nipate imani ya kujikita hapo
vipi wewe mwenyewe huwa unakula samaki ?mara ngapi kwa wiki/mweziWakuu natamani kuwekeza hapo ila soko lake sijui likoje naomba mnipe mwangaza kidogo japo nipate imani ya kujikita hapo