Nauza asali, ni mbichi na haijaongezwa chochote

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
JF,
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Bei ni shilingi 200,000 kwa kila lita20 sawa na 10,000kwa kila lita moja.
Nauza kwanzia lita 20.
 
Mkuu sija-angalia the market price kwahiyo naomba nikuulize kulinganisha na wauzaji wengine wewe ni cheaper au expensive..

alafu unayo stock kiasi gani?
 
JF,
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Bei ni shilingi 200,000 kwa kila lita20 sawa na 10,000kwa kila lita moja.
Nauza kwanzia lita 20.

Tasia, asali mbichi tunaipenda lakini bei yako imepita wastani wa bei ya soko kipindi hiki. Bila shaka wee ni mkulima na sio dalali; weka address zako hapa jamvini, tutakuja ku-bargain hapo hapo dukani kwako.
 
Du!!
Bungeni tuliambiwa wastani kwa ltr ni 4,000/=
inategeme uko wapi ndo uiuze 4,000.
me siangalii hilo bunge lamaslahi yenutu msiojua wengine.
naangalia nimewekeza rsilimali;
fedha kiasi gani?
muda kiasi gani?
nguvu binafsi kiasi gani?
n.k na ili nione faida inabidi niuze kiasi gani kwa lita.
 
Tasia, asali mbichi tunaipenda lakini bei yako imepita wastani wa bei ya soko kipindi hiki. Bila shaka wee ni mkulima na sio dalali; weka address zako hapa jamvini, tutakuja ku-bargain hapo hapo dukani kwako.
Bila shaka mi sio mkulima, nafanya biashara.
nainunua mabush nakuja kuuza huku kwenu.
 
inategeme uko wapi ndo uiuze 4,000.me siangalii hilo bunge lamaslahi yenutu msiojua wengine.naangalia nimewekeza rsilimali;fedha kiasi gani?muda kiasi gani?nguvu binafsi kiasi gani?n.k na ili nione faida inabidi niuze kiasi gani kwa lita.
'Kweli mkuu biashara yako ni kwa daraja flani tu'Vipi hali ya uchumi ya wahusika wenyewe!
 
Hiyo bei ni nafuu sana iwapo kweli hajachanganya.
Kuna watu wanatuletea kwenye chupa ndogo ya maji ya kilimanjaro kwa elfu tano ambayo ni 250ml
 
'Kweli mkuu biashara yako ni kwa daraja flani tu'Vipi hali ya uchumi ya wahusika wenyewe!
kaka asali yangu ni genuine.sihitaji kuhubiri hilo mana kabla hujanunua utaiona kwnza then utasema.
gharama za kuipata pia ni kubwa mpaka kuifikisha sokoni.
kuuza bei hyo simwonei mtu bali natafta faida.
 
bei ni sawa kabisa wengi wanauza zaidi hapo wekacontact zako nikimaliza tu nilonayo nikutafute lakini sio kuanzia lta 20 minachukua ya kutumia
 
Du!!
Bungeni tuliambiwa wastani kwa ltr ni 4,000/=

Hiyo bei ya Tshs. 4,000 kwa msimu huu haiwezekani labda uuziwe Morasisi iliyochanganywa na sukari lakini siyo asali.

Kuna changamoto ya ukosefu wa takwimu na taarifa za miaka ya hivi karibuni katika sekta ya nyuki. Utakuta mara nyingi unasikia Tanzania inajisifia kuwa na uwezo wa kuzalisha tani 138,000 za asali na nta tani 9,200. Lakini ukienda hukoa maporini hali ni tofauti kabisa. Miti yenye maua yenye uwezo wa kutoa mchozo imepungua na mazingira yamezidi kuharibiwa. Kwa mkoa kama Tabora, zao la Tumbaku limeua kabisa zao la asali katika uzalishaji na hata katika ubora.
 
Kama unataka kubobea ktk biashara hiyo ya asali, tafuta asali ya nyuki wadogo wasiouma. Bei ya lita moja ni nzuri, lakini pia kukusanya lita moja ni kazi kubwa !!!!!.
 
mkuu Malila
jee hao nyuki wadogo wanafugwa? Nawapi wanapatikana?

Ndio nyuki hawa wadogo wanafugwa, ni kazi sana kuwahamisha toka mizinga yao ya kienyeji mpaka kuwaweka ktk mizinga ya kisasa. Wanapatikana kwa wingi ukanda wa Chunya Mbeya, Itigi, Tabora karibu yote na Mpanda huko. Wafugaji wengi hupendelea nyuki wakubwa kwa sababu ya urahisi wa kuwapata.

Kama unawataka,nitakupa simu ya jamaa anayeuza mizinga ya nyuki hao wadogo,yuko pale Uyole mby.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom