ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 510
- 213
niko mpanda nina sh 200000 ninaomba ushauri nifanye biashara gani

Anza biashara ya kuuza miwa,au mihogo,au mahindi ya kuchoma kwenye mtaa ulio na watu wengi utatoka aisee,tafuta wakulima wa miwa,mihogo na mahindi kila kimoja kwa msimu wake jenga urafiki nao ili upate bei nzuri,hapa unaweza kufanya biashara kwa mika 2 au 3,mtaji ukikuwa fungua banda la chips acha miwa ,mihogo na mahindi hapa utafanya kwa miaka 2, mtaji ukikuwa kununua pikipiki mpe mtu upate kipande chako 7,000 kwa siku,wewe baki kwenye banda la chips mtaji ukikuwa nunua toyo uanze biashara ya ushafirishaji mjini, wewe baki kwenye banda la chips hapo hapo sasa una pikipiki,toyo na banda la chips.weka lengo la kufanya biashara ya usafirishaji mizigo na watu,ukianzia mkoani humohumo,mtaji ukikuwa nunua taxi.sasa utakuwa unapanua biashara zako pikipiki,banda la chips,toyo na taxi.after 10 years nipigie simu nitakupa mbinu nyingine za kuwa millionea kama mimi.