Wakuu habari...
niende moja kwa moja kwenye mada...
nina shamba Bagamoyo kidomole ekari 10 ila lina magugu na hamna maji...
ninafikiria sijui nifanye kilimo gani/kitu gani ambacho hakitaweza kunichukulia hela nyingi...
Pili nina kiwanja Mlandizi eka 1 visiga vikuruti 5 km kutoka morogoro road,napo sijui nifanye nini juu ya hii Ardhi hakuna maji pia
Karibuni kwa mawazo Wakuu...