KWA wale wafugaji wa samaki karibun jamvini

unique one

Member
Oct 17, 2017
42
10
Wakuu Mimi ni mjasiriamali ni nae taman kuanza kilimo cha uvuvi japo sijui mengi lakini naamini Ninyi mwafahamu mengi zaidi maana Mimi ndo kwanza naanza
Sasa Niko Na wenzangu Wengi tuu wenye NDOTO Kama zangu
Tumewaza tukaona tutengeneze group LA watsup linalo jumuisha wadau wote wa uvuvi ili tuelimishane Na kujuzane mengi KWA ukaribu zaidi
Pia Pamoja na kuwa grup ni kwa wadau wote tunaomba kanuni Na masharti kuzingatiwa ili kuleta staa Na heshima
Lengo ni kujikwamua kimaisha
Pia grup linaruhusu Business process
Namna ya kujiunga NI rahisi Unaweka no yako tuu
Kisha nakuadd
KARIBUNI NYOTE
 
Hamkawiii kuwa watu wasiojulikana nyie.............. hiyo michango si mlete humu kwenye jukwaa, namba zetu za nini? ungekua na nia njema si ungeweka link ya group ili mtu ajiunge bila kutoa namba yake hapa...
 
Mkuu ingekua bora zaidi ungeweka link ya group kuliko kutaka watu waweke namba zao public!!
 
Back
Top Bottom