Huo mpapai wako unaonekana kuna madini, tena kama sikosei umekosa madini ya chuma {Iron} ndio maana matunda hayadumu baada ya kuchavushwa, kwahiyo ugongomelee msumari wa chuma. Chukua msumari wa chuma ikiwezekana wenye urefu kuanzia inchi 3" then ugongomelee. Kuanzia hapo naamini utakuwa uko vizuri na matunda yatapatikana vizuri.habari wakuu....mpapai wangu umekua sana na unazaa kwa sasa...ila maua yake yanashambuliwa sana kila likianza kutengeneza papai linakufa..mapapai machache sana yamesurvive..naomba kujua nipulizie dawa gani
Heeeeeeee,huu uongo mkuu.Huo mpapai wako unaonekana kuna madini, tena kama sikosei umekosa madini ya chuma {Iron} ndio maana matunda hayadumu baada ya kuchavushwa, kwahiyo ugongomelee msumari wa chuma. Chukua msumari wa chuma ikiwezekana wenye urefu kuanzia inchi 3" then ugongomelee. Kuanzia hapo naamini utakuwa uko vizuri na matunda yatapatikana vizuri.
[emoji79] [emoji79] [emoji79]Heeeeeeee,huu uongo mkuu.
Zilipendwa
Nenda na mtaalam Shambani atakujuza tatizo.
Nicommon hata kwenye miembe