Tatizo hela ziko Chato airport ni kivuko cha kipuuzi cha furahishaPembejeo muhimu, ila suala la viwanda lije baada ya uzalishaji!!
Uko jukwaa gani kama unataka kuweka siasa pembeni nenda jukwaa la wakulimaMasuala haya ya SIASA nimesema tuweke kando tujadili namna ya kuongeza kipato wakati wa masika!! Elewa hilo!!
Musimu ndio kitu gani jamani, mimi mgeni shambani.Habari wanaJf, kwa sasa tunapoelekea musimu wa kilimo , tujadili fursa zinazopatikan musimu wa masika ambapo zaidi ni kilimo! Kuliko kukaa na kuwajadili viongozi wetu na vyama vyetu!! Nina amini nimeeleweka vyema humu!!
Watu wanapiga kampeni unawaambie sio kipindi cha siasa we kama jiji limekushinda kalime mwenyewe sio kila mtu mkulimaNaanzia huku kuwaambie kipindi hiki si cha siasa bali tujikite kwenye mambo ambayo yatakuwa na tija kwa mtu mmoja na nchi kwa ujumla!!
Binti kajaje hapa tena? Hapa unaongea na MWANA, acha siasa. Musimu ndio nini mzee baba?Nin
Jamii kama yako ndiyo mliotufikisha hapa kama taifa!! Badilika binti!!
musimu ni zao la masika...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Musimu ndio kitu gani jamani, mimi mgeni shambani.
Binti kajaje hapa tena? Hapa unaongea na MWANA, acha siasa. Musimu ndio nini mzee baba?
Wakulima wote ni wehu wehu kama wewe au ni mvua? Sasa kampeni na viongozi kupakwa mafuta mimi kuna nihusu nini?Kampeni si kitu cha wewe kusimamia kama hoja kubwa, cha msingi mtu anayefaa kuongoza wamjua hata si kwa kusubiri anadiwe!! Ndiyo maana mnachagua viongozi wasiofaa kwa kusubiri wapakwe mafuta wang'ae!
Kipi nisicho na uwezo nacho ewe Popoma usiyejitambua?Acha kulalama na kitu ambacho huna uwezo nacho!!