prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 663
- 706
Wapendwa naipenda sana mbolea ya super gro na kama na we mwenzangu una mbolea nzuri tujuze katka uzii huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Itanipa matokeo chanya sana na inafanya maajabu shambani hususani kwenye mazao ya matunda mfano nyanya badala ya kuvuna Mara 5 navuna hadi 9-12Inakupa matokeo chanya mkuu? Au unaipenda kwa sababu zipi
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Hivi ukitumia samadi hauweza kupata matokea bora?Wapendwa naipenda sana mbolea ya super gro na kama na we mwenzangu una mbolea nzuri tujuze katka uzii huu
Sent using Jamii Forums mobile app
unapata ,lakini samadi haijulikani ina virutubisho kiwango gani.Hivi ukitumia samadi hauweza kupata matokea bora?