biashara ya vitunguu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

biashara ya vitunguu.

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by cheusimangala, Sep 27, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza vitunguu kwa jumla DAR AU MORO naomba aniPM tutete jambo.
  thank you.
   
 2. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Nasikia vitunguu vina soko la kufa mtu Nairobi - is this you want to share with us Cheusi? kuna jamaa yangu alishanipa order nikusanye nipeleke lakini sijapata muda wa kufanya hivyo.

  Lakini si aina zote za vitunguu lazima kufanya utafiti kwanza kabla ya kuchangamkia tenda.
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni kweli kenya ni soko zuri la vitunguu ila sio hilo nililokuwa nahitaji kuliongelea.
   
 4. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inaoneka wafanya biashara wazuri wengi hawapati information wanazohitaji kufanya uamuzi. Kwa sababu hii, naomba mchango wa mawazo tutafute ufumbuzi. Kupata habari kuhusu soko, ni muhimu ili mjasirimali awe na kanguvu wakati kupatana bei. Na wakina mama wenye kulima kashamba kavitunguu, wanaweza kuuza bei nzuri kwa bidhaa zao, badala ya kuranguza kwa bei ya chini sana baada kuvuja jasho.
   
 5. x

  xhera Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hulo team,

  naomba procedure za kuuza vitunguu nairobi.......
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  cheusimangala na wengineo mnaendeleaje na kilimo/biashara ya kitunguu?
   
 7. O

  Omar camara New Member

  #7
  Dec 26, 2017
  Joined: Dec 23, 2017
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habari wadau.
  Mimi nipo wilaya ya ludewa nata kulima kitunguu saumu ila sijajuwa ni mbegu ipi ilokuwa bora
   
Loading...