bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 840 Reaction score 818 Dec 26, 2017 #1 Msaada jamani miparachichi yangu inashambuliwa sana nitumie dawa gani kuitibu maana majani yana jikunja na kukakamaaaa
Msaada jamani miparachichi yangu inashambuliwa sana nitumie dawa gani kuitibu maana majani yana jikunja na kukakamaaaa
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,988 Dec 27, 2017 #2 Tafuta dawa ya kutu fungicides upige. Alafu baadae upige busta
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,757 Reaction score 6,290 Dec 27, 2017 #3 Naona huo ni ukoma....tumia dawa za ukoma zitasaidia.