Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,345 Dec 26, 2017 #1 Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma
Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma
Ina wezekana Member Joined Sep 2, 2017 Posts 74 Reaction score 170 Dec 26, 2017 #2 Unahitaji wangapi na unanunua kwa shilingi ngapi?
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,722 Reaction score 2,401 Dec 26, 2017 #3 Wapo hapa kwa jirani yangu wengi tu
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Dec 26, 2017 #4 Rahabu said: Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma Click to expand... Mimi ninao wengi sana, kama unawahitaji tubadilishane, nipe bata wekundu nikupe hao kanga weupe,!!
Rahabu said: Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma Click to expand... Mimi ninao wengi sana, kama unawahitaji tubadilishane, nipe bata wekundu nikupe hao kanga weupe,!!
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,345 Dec 26, 2017 Thread starter #5 Ina wezekana said: Unahitaji wangapi na unanunua kwa shilingi ngapi? Click to expand... Nahitaji wawili,lakini naweza kuchukua zaidi ya wawili kulingana na bei ya muuzaji.
Ina wezekana said: Unahitaji wangapi na unanunua kwa shilingi ngapi? Click to expand... Nahitaji wawili,lakini naweza kuchukua zaidi ya wawili kulingana na bei ya muuzaji.