Biashara ya Nguo na Simu

Biashara ya Nguo na Simu

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,115
Reaction score
1,324
Habari wanajf

Naomba mnisaidie yafuatayo..

1.Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara ya nguo spesho?
Nguo hizo zinapatikana wapi kwa bei rahisi zaidi?
2.Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara ya simu origino pamoja feki(mchina)

Naomba majibu kwa wenye uzoefu na hizi biashara.

Asanteni,
 
Back
Top Bottom