Compasation ya Mazao kama katani ni sh ngapi kwa shina?

Compasation ya Mazao kama katani ni sh ngapi kwa shina?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
7,002
Hivi serikali inapotaka kuchukua eneo na kunamazao ya kudumu, je kwa zao kama katani unalipwa sh ngapi kwa shina? Je mazao mengine kama embe, miti ya mbao, korosho,chungwa etc. Naomba wazoefu wakutathimini wanijuze
 
Back
Top Bottom