Uvamizi wa wadudu

Uvamizi wa wadudu

Eliya Dawa

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
270
Reaction score
164
20171223_140601.jpg
20171223_140535.jpg
20171223_140521.jpg
20171223_140535.jpg
20171223_140601.jpg
Naomba ndugu zangu watafiti wa kilimo wanisaidie hawa wadudu nawamwagilia dawa gani maana wanatafuna huu muembe kwa kasi ya standard gauge
Nawasilisha
 
Pole, ukiendelea kusubiria wataalamu, saga vitunguu swaumu umwagilie au spray kwenye mche
 
Mti ni mkubwa mkuu vitunguu itakuwa ni gharama sana
 
pole mkuu mpka itapifika jioni wataalam watajitokeza kukusaidia.
 
Hao nakumbuka kuwaona hata kwenye miti ya ngoda, huwa wengi ila ndani ya wiki kama 3 huisha. Nadhani huwa wanakuwa kwenye metamorphosis, ukisubiria wataalam waje, kama ni mti mdogo unaeweza kuwapukutisha na kuwachoma, ila hiyo miiba ya hao wadudu huwasha
 
Nunua dawa, mimi walisumbua sana, naomba unipigie namba hii 0717095366 kesho
 
Back
Top Bottom