Nyoka aina ya msanga anafaa kufugwa?

Nyoka aina ya msanga anafaa kufugwa?

nyoka yoyote yule anafukiga kwa nini sasa asifukige wakati yeye ni mnyama ? embu acheni ubaguzi usiokuwa na maana yeyote na kukinyanyapaa hiki kiumbe na anzeni kufuga nyoka
 
Nyoka hawafugiki ila wanafungiwa kwa maonyesho tu yaani zoo
 
Ndiyo lakini hufugiwa chumbani unamolala chini ya uvungu
 
Back
Top Bottom