Kilimo cha tembele

Tamalisa

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,542
902
Wadau habari zenu,

Naomba wanaojua kilimo bora cha mboga ya tembele wanisaidie. Hatua zote na hadi kupata tembele zuri lenye afya

Shamba lipo na maji yapo karibu pia ya uhakika.

Asante
 
Duuu hawakukujibu looh

Tembele kwatua aridhi kwa rato au jembe, toa majani yote kwa reki, weka mbolea ya ngombe au mbuzi au kitimoto then otesha tembele kwa kukata vipande vipande kama utatumia mbolea ya kuku nitumie baada ya tembele kuanza kuota maana ni Kali sana inaunguza mizizi.
 
Tembele mbona halinaga mbwembwe hata mimi nimeotesha kwa bi mdashi sababu ni mboga ninayoipenda sana.
uzuri inastahamili mvua na jua na haishambuliwi na wadudu kama mchicha au chinese.
 
Duuu hawakukujibu looh
Tembele ...kwatua aridhi kwa rato au jembe ,toa majani yote kwa reki ..weka mbolea ya ngombe au mbuzi au kitimoto then otesha tembele kwa kukata vipande vipande kama utatumia mbolea ya kuku nitumie baada ya tembele kuanza kuota maana ni Kali sana inaunguza mizizi

Asante sana, japo nimechelewa kushukuru lakini asante kazi itaanza soon. bila shaka nitapata tembele la uhakika hapo
 
Tembele mbona halinaga mbwembwe hata mimi nimeotesha kwa bi mdashi sababu ni mboga ninayoipenda sana.
uzuri inastahamili mvua na jua na haishambuliwi na wadudu kama mchicha au chinese.

Asante sana, nalihitaji kwaajili ya biashara hasa, ndio maana natamani nipate tembele la kuvutia sana.
 
Back
Top Bottom