soko la mahindi mabichi lipo tandale, dar yes salaam,mwaka 2013 bei ya juu ya mhindi mbichi ilikua ni sh 250 dalali alikua anachukua sh 10 kila mhindi, kipindi kizuri cha kupeleka mahindi ilikua kuanzia mwezi wa tano mpaka december,ukipeleka kipindi cha mvua nyingi mahindi yanakua mengi sana kutoka pande za iringa kwa hiyo biashara inakuwa mbaya sana, biashara nzuri ni kiangazi, fuso moja huwa inabeba mahindi kama 17,000 hivi