Ugonjwa gani huu kwa kuku wa nyama (broilar)?

Watu pori

Member
Jan 15, 2017
94
36
Nimeaza kufuga kuku wanyama kwa Mara ya kwanza lakini naona maendeleo ya ukuwaji WAke sio mbaya wanakua kwa kasi Sana ila kunakitu kinanipa mawazo Sana ila kuna kuku mmoja nimemkagua nikakuta Kama sugu chini ya unyao WA kuku kigumu Kweli je inaweza ikaw ni ugonjwa na Kama ni ugonjwa unaitwaje na Kama ni ugonjwa ninaweza nikawapa dawa gani
IMG_20180527_124835.jpg
 
keep it going mkuu, siwezi sema ni ugonjwa huo ila jaribu kumwona daktari wa mifugo kwa usalama zaidi
 
You did it well man...
Jaribu kuona wataalamu wa mifugo,
Hawawezi kosekana eneo ulilopo
 
Inaweza ikawa foot bamboo disease mkuu....

Hii mara nyingi hutokana na kuku kujiumiza mwenyewe kwa kujichoma na kitu cha ncha kali....

Hivyo basi fanya kuchukua iodine na pamba safisha sehemu husika atakuwa sawa mkuu tu....

Goodluck
 
Powa nashukuru kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom