Msaada kuhusu namna ya kupima kiasi cha chakula cha kuku

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Habari ya majukumu kaka na dada zangu. Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji 11 (matetea 10 na jogoo 1). Lengo la kuandika thread hii ni kuomba mnisaidie ratio ya chakula kwa hawa kuku 11. Je per day wanatakiwa kula mara ngapi na kiasi gani kinatakiwa kutumika ili washibe vizuri. Natanguliza shukran
 
dada ukiwa smart weka kwenye yale macan yao then utanotice ulaji wao kwa kuangalia upunguaji wa kile chakula otherwise wepe chakula cha kutosha ili upate matokeo mazuri.
 
Thanks sana mdau
 
Back
Top Bottom