Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Ni mtandao wa mashirika ,vikundi mwamvuli na makampuni yaliyoko kwenye sekta ya kilimo.Mtandao huu wa ANSAF ulianzishwa Tanzania mwaka 2006 kwa madhumuni makuu yafuatayo;
✓kufanya uchechemuzi kwa ajiri ya mazingira rafiki ya kisheria na kiutendaji yenye kuzingatia uhitaji wa jamii masikini na ushiriki wa asasi na makampuni ya siyo ya koserikali katika kuleta ushawishi,kuchambua Sera na utekelezaji wake,kufanya tafiti za kisheria na kupendekeza sera na utekelezaji mbadala.
✓kujenga jukwaa la kujifunzia na kubadilishana uzoefu kuhusu utendaji uliotukuka,na kuboresha ushirikiano miongoni mwa wadau hasa kwenye masuala nyeti katika sekta ya kilimo,
Jukwaa la kujifunza na kubadilishana uzoefu miongoni was wadau wa sekta ya kilimo huandaliwa na ANSAF Kila mwaka kwa maudhui tofauti.Tangu 2007 kumekuwepo na maudhui mbalimbali.Kwa mwaka 2010, wanachama wa ANSAF walipanga maudhui yawekewe msisitizo kwenye mnyororo wa thamani wenye tija Tanzania:uchocheaji wa soko la ndani, maudhui haya yalitokana na uzoefu wa wanachama, pamoja na utafiti wa mawasiliano a madam zilizo wasilishwa kwenye jukwaa la mwaka 2009.
Katika jukwaa la 2009,ilibainika kuwa uzalishaji unaofanywa na wakulima wadogowadogo hauzingatii upatikanaji wa soko;na msisitizo mkubwa na ushauri uliopo unasema 'zalisha kwanza Kisha tafuta soko badae'(you first to produce and then look for the market).Suala la mnyororo wa thamani no changamoto ambayo kwa jitihada binafsi wadau wamekuwa wakijaribu kukabiliana nayo.Hata hivyo Kuna mafanikio finyu miongoni mwa wadau na vilevile apajakuwepo na fursa za kutosha na jitihada za makusudi katika kushirikishana na kubadilishana uzoefu.ilibainika kuwa walengwa ,hususani wakulima na wasindikaji wadogo hawajahamasishwa vya kutosha kujikota kwenye mnyororo wa thamani.ko wadau mbalimbali mnaombwa kuweza kushiriki katika kuinua mnyororo wa thamani kupitia ANSAF.
"KILIMO NI UTI WA MGONGO WA MTANZANIA"KILIMO CHENYE TIJA.