Msaada : Vitunguu vyangu vinakufa

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Wadau nimelima vitunguu maeneo ya Ruaha mbuyuni ndani sehemu za Idodoma.Kitunguu changu kimebakiza siku 30 hivi nikivune lakini kimeanza kukauka majani,sijui ni ugonjwa gani? Nitumie dawa gani na kinga ni nini?
IMG-20180529-WA0033.jpg
IMG-20180529-WA0034.jpg
 
Sasa mkuu umelima bila kuwa na mzoefu wa hicho kilimo? Yani unategemea kupata suluhisho jf sidhani Kama utapata kwa wakati. Uliza jirani zako huko ruaha wakulima si wengi!!
 
Fuata ushauri hapo juu. Ruaha Mbuyuni kuna wahenga wa vitunguu.

Ukikosa mtafute maafisa kilimo, ukikosa kabisa google

Sio mtaalamu wa kilimo wala experience ya kulima vitunguu
 
Malila sijui alikufiaga wapi? Huyu angekufaa sana mkuu ni mkulima yuko huko huko Ruaha!!
 
Majani yanayokauka ni yapi mkuu.
Ya mwanzo(Yale ya awali kabisa) au mapya yanayochipua?!
 
Nchi iko safi kabisa, wenye laana ni watu.

Nchi kwa maana ya ardhi ni shahidi tu wa laana maana ardhi ni shahidi au huficha kila baya mwanadamu atendalo au asemalo...."ardhi inalilia kwa damu za watu mlizo mwaga"....
Mm sjamwaga damu ya mtu mkuu, na sasa nipo kwa wazungu uku nabeba boxi, sipo Tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom