Kwa wataalam wa mifumo ya umwagiliaji

Kwanza kabisa inategemea Irrigation Tape ulizofunga ziko kwenye space ya Ngapi ngapi kutoka tundu moja mpaka jingine...

Kuna za 20cm hizi zitakula around 20,000-30,000

Kuna za 30cm hizi zitakula Ltr 20+

Kuna za 60cm hizi ni kuanzia 15,000

Pia wakati mwingine inategemea swala la hali ya Udongo wenyewe,pia swala la hali ya hewa imekaaje...
 
Thanks mkuu kwa ufafanuzi
 
hivi ni Lita ngapi zinahitajika kumwagilia nyanya kwa heka moja kwa mfumo wa drip
Crop water requirement ya nyanya ni 8ml kwa mche mmoja, so chkua miche ya heka moja zidisha na hyo 8ml utapata lita zinazohitajika.
 
Naomba nijuze ya ngogwe, hoho, bilinganya na bamia,. Kwenye mfumo huo huo wa drip
 
Back
Top Bottom