Brown leaves kama waitavyo wao.

shabani mmanga

Senior Member
Jun 5, 2016
138
116
Wanabodi, hayo ndo yanayotokea kwenye shamba langu kama mkulima wa nje (out grower) ambaye hulima maua haya na kuuza kwa wazungu ambao wao hufanya wajuavyo na kusafirisha huko nje maana mm cna soko huko.
Majani hayataki kuwa kijani tena kama inavyotakiwa na yameamua kuwa na hiyo rangi na kushusha kipato changu.

Kwa wale wakulima wenzangu na wabobezi wa Hortculture. Msaada wenu kabla mambo hayajaniendea segemnegeView attachment 841204View attachment 841205
IMG_20180819_093423.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom