washawashachiniyamuti
Senior Member
- May 9, 2018
- 139
- 109
Heshima wadau wa JF, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipa mchanganuo wa green house ya bei nafuu ya mita 15 kwa 8 kwa Dar es Salaam.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.
Heshima wadau wa JF, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipa mchanganuo wa green house ya bei nafuu ya mita 15 kwa 8 kwa Dar es Salaam.
Naomba kuwasilisha.
Unatumia Chrome browser mkuu?ningekuwekea links za kutosha hapa zilizowahi kujadiliwa humu jf ila kwakua sisi tunaotumia browser na simu, kile kijisehemu cha search kipo kama disabled hivi yaani huwez sachi chochote na Maxence Melo hataki kushughulikia basi ngoja wataalamu waje wakusaidie
ndioUnatumia Chrome browser mkuu?
Km una Instagram ,search greenhouse Tanzania kuna jamaa kuleHeshima wadau wa JF, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipa mchanganuo wa green house ya bei nafuu ya mita 15 kwa 8 kwa Dar es Salaam.
Naomba kuwasilisha.
Well, kwa browser ya Chrome unaweza kusearch. Click the three dots upande wa juu kulia, then weka tick walipoandika "Desktop Site". Thereafter utakuwa na uwezo wa kusearch.ndio