GUI JF-Expert Member Oct 15, 2016 1,847 1,299 Nov 12, 2016 #1 Hivi kuna namna yeyote ya kuniwezesha kudowload kitabu ambacho kinauzwa amazon for free? Kitabu hakipatikani website zingine
Hivi kuna namna yeyote ya kuniwezesha kudowload kitabu ambacho kinauzwa amazon for free? Kitabu hakipatikani website zingine
nivoj.sued JF-Expert Member Jul 14, 2009 221 190 Nov 13, 2016 #4 Tafuta hackers wakusadie.... Au jifunze hacking... Kwa kuanzia soma kitabu hiki... (attached) Attachments Hacker's Handbook--The Strategy Behind Breaking into and Defending Networks.pdf 18.1 MB · Views: 63
jose mjasiriamali JF-Expert Member Sep 17, 2014 1,746 1,531 Nov 13, 2016 #6 ungesema ni ktabu/vitabu gani mkuu. kuna wakati nilianzisha uzi kama wako alinisaidia Mwl.RCT nikakipata. ungesema ili wadau wakusaidie
ungesema ni ktabu/vitabu gani mkuu. kuna wakati nilianzisha uzi kama wako alinisaidia Mwl.RCT nikakipata. ungesema ili wadau wakusaidie
Bufa JF-Expert Member Mar 31, 2012 10,656 21,081 Nov 13, 2016 #7 Kinauzwa bure au kinapatikana bure.!? Kama kinauzwa hakiwezi kuwa bure na kama ni bure basi hakiuzwi
Mwl.RCT JF-Expert Member Jul 23, 2013 13,573 18,599 Nov 13, 2016 #8 GUI said: Hivi kuna namna yeyote ya kuniwezesha kudowload kitabu ambacho kinauzwa amazon for free? Kitabu hakipatikani website zingine Click to expand... https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-100#post-18337713
GUI said: Hivi kuna namna yeyote ya kuniwezesha kudowload kitabu ambacho kinauzwa amazon for free? Kitabu hakipatikani website zingine Click to expand... https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-100#post-18337713