Nifanyaje kurekebisha play store katika simu ya tecno F6

Nifanyaje kurekebisha play store katika simu ya tecno F6

moto ya mbongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
499
Reaction score
386
Igweeee, wana JF simu yangu Tecno F6 inasumbua kwenye Play store kila napotaka kuupdate Apps ujumbe unaoukuja ni Unfortunaterly,Google Play has stopped. Tatizo lilianza niliporemove caches kwenye Play store. Simu nimeiroot kwa King Root na ipo vizuri haisumbui. Nimegoogle vya kutosha na kufanyia kazi maelekezo ya Forums mbali mbali lakini hola. Baadhi ya mbinu nilizofanya 1. Kuifactory Reset simu na kuanza upya Play store bado inagoma. 2. Kuiuninstall Play store na kuweka upya kwa latest APK hola. 3. Kuweka on Sync za gmail account yangu hola 4. Kubadili tarehe na muda ziwe na makosa ili Play store ikae sawa hola. 5. Kuremove gmail yangu na kuirudisha hola. Naomba msaada wenu cc mwl RCT,Njunwa wa mavoko, @NVDIA
 
Ok twende pamoja... Kama simu yako ipo rooted install mojawapo ya app hizi

Root browser
Root explorer
Total commander

Kisha ingia kwenye root folder [emoji416], etc then open host kwa kutumia text editor...

Futa text zote hapo na uache mstari wa juu au utype

127.0.0.1 localhost

Kisha save...

Ukifanikiwa au ukikwama leta mrejesho
 
Ok twende pamoja... Kama simu yako ipo rooted install mojawapo ya app hizi

Root browser
Root explorer
Total commander

Kisha ingia kwenye root folder [emoji416], etc then open host kwa kutumia text editor...

Futa text zote hapo na uache mstari wa juu au utype

127.0.0.1 localhost

Kisha save...

Ukifanikiwa au ukikwama leta mrejesho

Asante Joblee nimejaribu kuweka Root Browser lakini sijakupata vizuri naomba unielekeze tena upya hata kwa screen shots. cc Mwl. RCT,Njunwa wa mavoko
 
GOOGLE AUTHENTIFICATION FAILED yangu ilikuwa inaniambia hvyo nilisumbuka sana aise ilifika siku niliirekebisha kirahisi sana mpaka leo mambo mswano.
 
Q
GOOGLE AUTHENTIFICATION FAILED yangu ilikuwa inaniambia hvyo nilisumbuka sana aise ilifika siku niliirekebisha kirahisi sana mpaka leo mambo mswano.
Eidj5 ulirekebisha vipi? hebu nipe huo ujanja nasumbuka kudownload APK as Google Play Store inabuma muda wote.
 
1- Toa playstore iliyokuja na simu.
2- Install Google installer, yenyewe itakuingizia playstore, framework, na Google services.
N:B Ukijifanya unadownload tu playstore utayajaza kibao amabayo sio special kwa simu,

Hii njia paka leo naitumia kwenye MEIZU
 
Q

Eidj5 ulirekebisha vipi? hebu nipe huo ujanja nasumbuka kudownload APK as Google Play Store inabuma muda wote.


HATA MM ILIKUWA HAITAKI KUDOWNLOAD, SASA FANYA HIVI.

1. NENDA KWENYE GOOGLE ACCOUNT YAKO AMBAYO UMESIGN IN NAYO KULE KWENYE SETTING KASIGN OFF,YANI RESET PHONE KABISA HIYO ACCOUNT KWENYE FACTORY DATA RESET IWE KAMA NDIYO MPYA UMEINUNUA.

2. TAFUTA KATIKA SIMU YAKO KUNA APPLICATION INAITWA "GOOGLE TALK" NDIYO UTUMIE ILE GOOGLE ACCOUNT YAKO KUSIGN IN KWENYE HIYO GOOGLE TALK.

FATA HAYO MAELELEZO THEN LETA MREJEJESHO.
 
snipa na wengine nashukuru kwa maelekezo lakini bado sijaweza kutatua tatizo. Nilliondoa play store nikatafuta Google installer google nikapata za kichina. Niliinstall hazikumaliza na sasa napata error hii hapa Unfortunately, the process com.google.process.gapps has stopped. Naona inazidi kuzingua na labda itahitaji kureset simu kwa mara ingine ili kuanza upya. cc Chief Mkwawa
 
Habari za tatizo la gapps limeisha lakini Play Store bado sijafanikiwa. [quote uid=18755 name="moto ya mbongo" post=18403758]Q<br /><br />Eidj5 ulirekebisha vipi? hebu nipe huo ujanja nasumbuka kudownload APK as Google Play Store inabuma muda wote.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom